Baada ya vuta nikuvute kati ya YANGA na
URA kumalizika kwa dakika tisini bila kupatikana kwa mshindi hatimaye Yanga nao
yaaga mashindano ya Mapinduzi Cup kwa mikwaju ya penati. URA wamepata penati 5
na Yanga wameambulia penati 4
Mchezaji pekee aliyekosa penati kwa upande wa
yanga ni Obrey Chirwa kwa matokeo haya timu ya URA imekuwa timu ya kwanza kutinga Fainali ya michuano hii na itasubiri mshindi kati ya AZAM na SINGIDA mchezo utakao chezwa saa 20:15 leo hii.
0 comments:
Post a Comment